Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

mmmhhh!!! ni shiiiidah Zari All White Party kiingilio cha chini ni milioni 3 za kitanzania, jionee tiketi hizi hapa.


Zari All White Party ambayo inataraji kufanyika leo Mei 1 kuanzia saa2 usiku katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam, ambapo tiketi za party hiyo kima cha chini inasemekena ni Tsh Milioni 3(tatu).



Hii ndio tiketi ya kiingilio cha chini cha kwenye party ya zari inayofanyika leo mei 1

Party hiyo ambayo itakuwa ni ya uvaaji wa nguo nyeupe tu ukumbini hapo, moja ya tiketi ya kiingilio cha bei rahisi katika party ambayo ni ya fedha za kitanzania milioni 3 sawa na US Dollar 1800 za kimarekani na ambapo tiketi kufikia jioni zilikuwa tayari zimeshakwisha.



author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


Blog Archive

© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top