Kipande cha video cha nusu uchi cha Irene Masogange kilichozua zua mzozo baada ya kuonekana akicheza akiwa nusu uchi sebuleni na kurekodiwa na aliyekuwa mpenzi huku wifi ake nae akiwa pembeni hatimae mwanaume alievujisha video hiyo ajulikana.
Mwanaume huyo ambaye alisemekana ndie alikuwa mpenzi wa wazani wa Irene Masogange ambaye walikuwa wakiishi wote maeneo ya mwenge jijini Dar es salaam ambaye alifaamika kwa kina ja Jimmy shauri ambaye ni kigogo huko bandarini.
Baada ya ugomvi wa kimapenzi kutokea na kupelekea kugombana kwao ndipo kukapelekea kaka avujishe kipande hiko cha video cha mwanadada huyo.
Post a Comment