Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Aibu!!! Kama si Bodaboda Dada huyu wangemvua nguo zoooooote, jionee tukio zima lilivyokuwa!!!


Dada mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja amejikuta na kizaazaa cha wanaume kutaka kumvua nguo zote kwa kile kilichodaiwa kuvaa nguo fupi mchana kweupe ambapo kiimadili si sawa.

Inasemekena dada huyo alielezwa na wanaume ambao alipita maeneo ya karibu na wao na kuanza kuwaporomoshea matusi kuwa hawamvishi wala kumlisha mbali na yote hawamjui kwa hvyo wamuache, maneno yake ya kejeli dhidi ya wanaume hao ndio yaliwakasirisha na kutaka kumvua nguo zote.

Dada zetu jaribu kuwa na heshima katika suala zima la uvaaji ili yasiwakute kama haya ya mwenzetu na tukio hili liwe fundisho kwenu.

author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


Blog Archive

© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top