Dalili za mwisho wa dunia huonekana kwa matukio kama haya kutokea na kuonekana hali ya kawaida lakini kimaadili si kitu cha kawaida
Hivi karibuni wazungu wapatao mia tano walionekana wakiwa uchi wa mnyama kama walivyozaliwa huku wakiwa wanaendesha baiskeli bila ya kuhofia kitu chochote cha kimaadili au pengine kuonekana watu waajabiu kwa tukio hilo walilolifanya.
Video ya tukio hili hapo baadae ilitolewa kutokana na usalama wa kimaadili.
Post a Comment