Dada mmoja nchini kenya amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kujikuta akivuliwa nguo zote na kucharazwa bakora akiwa hivyo hvyo uchi kama alivyozaliwa.
Tukio hili limetokea maeneo ya Eldoreti ambapo watu wa maeneo hayo wamesema wanakampeni ya kutokomeza wakina dada wasiojiheshimu kwa kuvaa nguo ambazo si za heshima kwa jamii. Dada huyu alikutwa na gharika hilo baada ya kupita maeneo hayo na kujikuta akivuliwa nguo kwa kuambiwa kwa nguo ulizovaa bora tu umalizie na ndipo wakaishia na kumchapa kwa viboko vingi huku akiwa mtupu hana nguo hata moja.
Kutokea kwa tukio hili basi ndio iwe fundisho kwa kina dada wengine wenye tabia za kuvaa nguo fupi ambazo si za heshima kwa jamii hivyo mbadilike yasije yakawakuta kama ya huyu dada au hata zaidi ya yahuyu.
Post a Comment