Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

LEO:Kati ya Mayweather V Pacquiao nani Bingwa?? Pata kujua muda wa pambano kuanza hapa!!


Pambano la kukata na shoka lililokuwa linasubiriwa kwa hamu kubwa kati ya Floyd Mayweather Mmarekani na Manny Pacquiao Mpilippine linapigwa leo katika ukumbi wa MGM Grand huko Las Vegas Marekani.

Ambapo hivi leo mapema asubuhi walikutatishwa kwa aliji ya vipimo tayari kwa pambano kuanza hapo baadae.

Haya ni baadhi ya matukio ya picha yaliyowakutanisha wapiganaji hao ambapo walifanyiwa vipimo na wote walionekana wako vizuri na tayari kwa kupambana.






Pambano hili kwa saa za Afrika Mashariki Litapigwa hapo saa9 usiku kwa hivyo kama ww ni mpenzi wa masumbwi(boxing) pambano hili linakuhusu usikose. 
author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


Blog Archive

© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top