Tukio la kudondoka kwa wachawi mkoani Tanga mwaka jana mwezi wa 11 liliibua sintofahamu nyingi na kuacha watu hoi mitandao na kujiuliza tukio hili ni la kweli au lilikuwa la kutengeneza.
Ili kuaminisha watu kumbe kulikuwa na mtu aliekuwa akuwarekodi wachawi hawa kwa kutumua simu yake ya kuganjani na kulipost tukio hilo katika mitandao wa video wa youtube na baadae inasemekana alilitoa baada ya kupokea vitisho.
Video ya tukio hili kwa sasa haiko hewani ilitolewa kwa kile kilichodaiwa ilikuwa na vitisho kwa yule alieiweka mtandaoni.
Post a Comment