Hii ndio iliyokuwa video ya msanii mwigizaji wa bongo muvi Elizabeth Michael 'Lulu' alipokuwa akimsema vibaya Wema Sepetu baada ya kukosa kura za ushindi wa ubunge wa viti maalum huko mkoani Singida jana.
Lakini baadae Video hiyo ilitolewa mtandaoni kwa kilichodaiwa Lulu kuonekana kuongea lugha chafu pia kuongea mambo binafsi ya Wema Sepetu ambayo yangekuwa yanajenga picha mbaya kwa jamii.
Haya chini ndio matokeo ya huko Singida jana ya ubunge wa viti maalumu kupitia chama cha mapinduzi CCM, jumla ya idadi ya wagombea na jumla ya kura walizozipata kwa kila mmoja zikiwemo za Wema Sepetu.
Post a Comment