Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Hii ndio RATIBA ya Mh. Lowassa kuzunguka Mikoani baada ya kuchukua fomu ya Urais CHADEMA, iangalie hapa.

Baada ya Mh. Lowasa kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ataanza kuzunguka mikoani kunadi sera ya chama hicho kukimbilia mbio za urais. Ilisemekana kuwa kujinadi huko kutaanzia mkoani Arusha na kufatiwa na mikoa mingine mbalimbali.
author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top