Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Aibu!!! Kwa yaliompata iwe fundisho pia kwa wanaume wengine wenye tabia mbaya na chafu kama hizi.


Jamaa ambaye kwa jina tumeliifadhi alijikuta akipata aibu kubwa mara baada ya kumshika mke wa mtu makalio. Jamaa huyo alijikuta ghafla akivamiwa na watu wengi mara baada ya kusikia mwanamke huyo akilalamika kwa nguvu kushikwa makalio na kijana huyo ambapo baada ya watu kumtambua muhusika huyo hawakuchelewa na kuanza kumchojoa nguo kila nguo ili kukomesha kabisa tabia hiyo maana imekuwa ni kawaida sana kwa kijana huyo kufanya ujinga huo.

author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top