Mganga wa jadi aliejizolea umaarufu mkubwa kwa kutoa uchawi sehemu mbalimbali kwa kutumia nguvu za kunywa damu ya paka na kuitwa Dr manyaunyau kumbe nguvu na jeuri ya kufanya hayo ni yote ni kutokana na damu ya paka anayokunywa.
Waganga wenzake wanasema kuwa damu ya paka ni damu yenye nguvu sana isiyoshindwa uchawi wa aina yeyote kwani inakufanya kwenye kazi uwe na nguvu pia ujasiri wa kazi mkubwa sana.
Post a Comment