Tukio la kusikitisha la kujichukulia hatua
mikononi limemkuta dada mmoja baada ya kudaiwa kuiba simu na ilisemekana
ameificha sehemu za siri.
Mwanadada huyo ambaye jina lake
halikufahamika mara moja alijikuta akivuliwa nguo zote huku akisachiwa kila
kona ya mwili wake kwa kile kilichodaiwa kuwa alikuwa ameiingiza kwenye k***.
Lakini mwisho wa tukio ilidaiwa kuwa simu hiyo kweli ilipatikana na aliambulia
kupigwa sana na wanaume hao walisemekana ndio waliibiwa simu hiyo.
Matukio ya kujichukulia hatua mikononi
Arusha yamezidi ambapo siku chache zilizopita mtu mmoja alipigwa mpaka kufa kwa
kuiba side mirror za gari.
Post a Comment