Wapendandao ambao toka wajitambulishe kuwa wana mahusiano kila kukicha mapenzi yao yamekuwa ni ya gumzo sana hapa mjini kwani wanavyopendana hata kuwaangalia unajisikia raha.
Katika mtandao wa kijamii wa Instagram katika page ya Nuhu Mziwanda ameonekana ameweka picha ikimuonesha akioga na mpenzi wake Shilole bafuni kuhu wakichezacheza.
Sio kwa mara ya kwanza Nuhu kuweka picha mtandaoni akiwa na mpenzi wake Shilole wakiwa kwenye mahaba motomoto ambazo ukiwaangalia utafurahia kuona wanavyopendana.
Post a Comment