Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Video: Jacob Zuma na udhalilishaji wa wanawake, asindikizwa na mabinti bikira 100 kuelekea kuoa tena.


Rais wa Afrika ya Kusini Jacob Zuma hivi karibuni alikuwa na sherehe ya harusi ambapo alienda kuoa tena mwanamke mwingine kama ilivyo ada mila za kwao.

Harusi hiyo ilikuwa yatofauti kidogo ukilinganisha na zile alizowahi kufanya huko nyuma kwani hii ya sasa alikuwa ya aina yake kwani alisindikizwa na wanawake bikira mia moja wote wakiwa wamevalia nguo za nusu uchi huku wakiwa maziwa yao yako wazi. Wanawake hao walikuwa wamelizunguka gari alilokuwa amepanda Jacob Zuma huku likiwa linaenda mwendo wa pole pole kuelekea eneo ambalo Jacob Zuma ataenda kuoa.

Hatua hii ya harusi hii iliyofanya na Jacob Zuma hivi karibuni imeonekana ni ya kudhalilisha wanawake kama inavyoonekana.

author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top