Wanafunzi waliohitimu kidato cha sita mwaka huu wakiwa katika wakati wa kusubiria matokeo yao kutoka serikali ilianzisha utaratibu wa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa JKT kwa lengo la kupata mafunzo ya miezi mitatu ya kujifunza kuwa na uzalendo na nchi yao.
Hizi ni baadhi tu ya picha ya kambi mbalimbali ambazo wanafunzi hao wakipewa mafunzo hayo ya uzalendo.
Post a Comment