Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Picha 11: Pata kujua wasifu wa Jengo refu zaidi Afrika Mashariki na Kati lililoko nchini Tanzania lenye Mita 147.


Jengo refu zaidi lililokamilika Afrika Mashariki na Kati lazinduliwa nchini Tanzania.

PSPF Towers ni moja ya majengo machache marefu barani Afrika na ndiyo jengo refu zaidi LILILOKAMILIKA Afrika Mashariki na Kati, likiwa na urefu wa mita 147. 

Majengo mengine marefu Afrika ni Carlton Centre (mita 223) lililopo Afrika Kusini, Hassan II Mosque (mita 210) lililopo Moroko, Ponte City (mita 173) lililopo Afrika Kusini, Necon House (Mita 160) lililopo Nigeria, Marble Tower (mita 152), Pear dawn (mita 152), Pear dawn (mita 152), Met Life Centre (mita 150) na 88 on field (mita 147) yote ya Afrika ya kusini.

Jengo hilo lililozinduliwa na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete, ujenzi wake ulitumia miaka minne tangu mwaka 2011 hadi 2015 limegharimu shilingi bilioni 139.20 za Tanzania lina maeneo ya ofisi na nyumba za makazi 88. Pia katika jengo hili kuna sehemu ya Mgahawa, Mabenki, Bwawa la kuogelea, Sehemu za kufanyia mazoezi, Maegesho ya Magari na sehemu nyingine muhimu.

Huu ndio ushauri ulotolewa na TCRA juu ya sheria ya Matusi ya Kimtandao ilioanza kutumika rasmi jana.

Mamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania TCRA imetoa ushauri kwa watanzania wote juu ya sheria ya matusi ya mtandaoni ambayo imeanza rasmi septemba 1.
Ushauri wa TCRA ulotolewa kwa wananchi juu ya sheria ya matusi ya mtandaoni ni kuwa undapo utatumiwa video, sauti au hata picha ambayo si nzuri kwa jamii na inayoleta vichochezi kwa jamii ni vyema uifute na sio kuisambaza kwa watu wengine.

Hivi ndio vipengele vya sheria ya matusi mtandaoni ambavyo usipokuwa makini vinaweza kukufunga, vijue hapa.

Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA ambayo iko chini ya Wizara ya Mawasilino, Sayansi na Teknolojia imeanza kufatilia watu wanatumia mtandao vibaya kwa kuweka vichochezi mbalimbali, matusi na picha chafu ambazo si nzuri kwa jamii.

Sheria hiyo ambayo ilisainiwa na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia tarehe 14 mwezi Agosti mwaka huu na kuruhusiwa kuanza kutumika Tarehe 1 Septemba mwaka huu ambayo ni leo. Sheria hii ya matusi ya mtandaoni imezingatia zaidi matumizi mabaya ya kimtandao ikiwemo kutuma picha za kizushi, maneno ya kizushi, matusi na video chafu mtandaoni.

Sheria itamgusa yeyote atakaekiuka hayo na kutoza faini ya kuanzia Tsh 3,000/= na kuendelea kulingana na ukubwa wa kosa lenyewe.

VIDEO: Kama ulipitwa na ile Video Rais Kikwete akicheza Muziki na Vanessa Mdee pale Milimani City basi iangalie hapa

Katika halfa ya kuwaaga wasanii ambayo ilifanyika wiki chache zilizopita katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam ambao uliwahusisha wasanii wote wa muziki wa kizazi kipya Bongo Fleva, Ma producer wa muziki huo kwa upande wa Video na Audio, Bongo Movie, Radio Presenters na watu wengine maarufu wengi katika Tasnia ya Mbalimbali za sanaa hapa nchini.

Hafla hiyo ambayo Rais Kikwete aliamua kuifanya kwakua alikuwa ndio anamaliza muda wake wa kuingoza nchi kwa kiaka kumi aliamua kuwakumbuka wasanii kwa kuungana nao na kucheza kwa furaha.

Diamond anaringa nyie hizi ndizo sababu Diamond ya kukataa mamilioni ya Lowassa na kukimbia CCM, zijue hapa.

Msanii wa Bongo Fleva nchini Tanzania Diamond Platnums amekataa mamilioni ya Mh Edward Lowassa ambaye anagombea urais kupitia kiti cha chama cha Umoja wa Kilio cha Wananchi UKAWA kiasi kisichopungua Milioni mia5 na hatime kuamua kukiunga mkono Chama Cha Mapinduzi CCM ambacho mgombea wake wa Urais ni Mh John Pombe Magufuli.

Sababu za Msanii huyo kukataa fedha nizo ni kile alichodai kuwa yeye ni mwanachama damu wa Chama Cha Mapinduzi CCM na hayuko tayari kununuliwa kwa kiasi chochote cha fedha kukisaliti chama hicho na kujiungha na chama cha upinzani.

Picha 5: Jionee Mwanamitindo Flaviana Matata afunga ndoa jijini Dar es salaam katika kanisa la St. Joseph.

Mwanamitindo wa kitanzania Flaviana Matata wiki chache zilizopita hatimae alifunga ndoa katika kanisa la St Joseph lililopo posta jijini Dar es salaam na kuhudhuliwa na watu wengi waliwemo wasanii mbalimbali pamoja na wanamitindo wenzake. Flaviana alionekana ni mwingi wa furaha pamoja na mume wake baada ya  kuvalishana pete katika ndoa yao hiyo kanisani hapo



Picha 11: Wazungu wamdhalilisha dada huyu wa kiafrika akiwa uchi wakisoma sehemu za mwanamke kwa vitendo.

Dada mmoja wa kiafrika amejikuta akidhalilishwa na wazungu huko nchini CUBA baada kuvua nguo zote akiwa kwenye HALL wakati wazungu hao wakisoma sehemu za mwanamke kwa vitendo na kumtumia mwanamke huyo kama ndio kitendo. Tukio hilo la kusikitisha la kumdhalilisha dada huyo limepelekwa kwa shirika la umoja wa mataifa la kutetea haki za binadamu Huma Right Watch HRW kwa wazungu hao na kufunguliwa kesi ambayo mpaka sasa inaendelea.
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

Featured Posts

float ads


© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top