Muigizaji na aliekuwa Miss Tanzania mwaka 2006 Wema Sepetu licha ya kuwa na kura chache za maoni za kuwania Ubunge wa viti maalumu mkoani Singida wiki lililoisha, Jana alipata upokezi mkubwa baada ya kurejea mkoani Dar es salaam kuendelea na shughuli zake zingine.
Upokezi huo ulioandamwa na pikipiki nyingi pia magari mengi wakiwa na wapambe wake mbalimbali walienda kumpokea na kuelekea kwa nderemo na vifijo wakidai kuwa hata kama ameshindwa ila kwao ni mwanamke shupavu kwani alijalibu bila ya kuwa na hofu yoyote.
Post a Comment