Mama mmoja ambaye inasemekana ni mke wa mwenyekiti jina tunaliifadhi amejikuta anadhalilika mtandaoni baada ya picha zake kusambaa na kusemekana zimetolewa na kusambazwa na mchepuko wake wa zamani ambaye waliachana nae baada ya kugombana.
Mke huyo wa mwenyekiti amejikuta mwenye janga la kuachwa na mumewe baada ya picha hizo kumfikia mpaka mumewe ambaye akifunga nae miaka minne iliyopita.
Post a Comment