Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

BREAKING NEWS: Baada ya Lowassa kuhamia CHADEMA hii ndio ajenda itakayozungumzwa na CCM Leo baadae.


Chama cha Mapinduzi leo majira ya saa saba mchana kitazungumza na waandishi wa habari juu ya msimamo wake wa wanachama wake wote watakaoamua kukisaliti chama hicho na kuhamia vyama vingine kwa leo la kujipatia nafasi kubwa kubwa za kugombea uongozi kama alivyofanya aliekuwa waziri mkuu Edward Lowassa kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.

Msimamo huo utazungumzwa na Katibu mwenezi wa chama hicho bwana Nape Nauye, endelea kutembelea blog yetu kujua nini atavyovisema.

author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top