Show kali iliokuwa inafanywa na mwanamuzi wa hiphop nchini wikendi ilioisha Maisha Club iliandamwa na vituko vingi vikiwemo vya huyu dada.
Dada huyu aliekuwa amelewa alionekana ni mwenye furaha sana baada ya kuwa anacheza kwa kujiachia huku akimrukia Ney wa Mitego. Furaha hizo zilizidi baada ya kuonekana alisaula na nguo zake zote na kubaki mtupu kama alivyozaliwa. Watu mbalimbali nao hawakuwa nyuma walionekana kumrekodi dada huyo kwa simu zao.
Baadae dada huyu alichukuliwa na watu wa usalama wa eneo hilo na kuvalishwa nguo zake kisha kuruhusiwa aondoke eneo hilo mara moja kwani hakua amekuja na mtu.
Post a Comment