Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Jionee Picha 11 Mh.Lowasa akikabidhiwa fomu ya kugombea urais kupitia chama cha CHADEMA uchaguzi wa 2015.


Aliekuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mbunge wa Munduli kupitia chama hicho pia Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Lowasa, Baada ya kukihama chama hicho na kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA jana alikabidhiwa fomu ya kugombea urais kupitia chama hicho. Na hizi ni baadhi ya picha matukio cha Mh. Lowasa akikabidhiwa fomu hiyo.






author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top