Mtoto huyo bila woga wowote huku aliwa analia alionekana akimfuata chatu huyo aliejificha kwenye bwawa lenye maji machafu baada ya kuwa ameshiba sana na baada ya kumuona hapo alimfuata na kuanza kumpiga makofi kichwani huku akilia na alikuwa anaongea maneno mbali mbali ya kulalamika akimlaumu chatu huyo kuwa kwanini amemla mungu wake.
India huwa wanawatumia ng'ombe kama mungu wao kuomba dua zao mbalimbali pia huwa hawali nyama ya ng'ombe kwakuwa wanaamini huyo ni mungu kwa hivyo haliwi.
Post a Comment