Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Laana!! Padri akutwa Casino usiku wa manane akijivanjari na kimwana, angalia picha zake hapa.


Padri mmoja ambaye jina lake halikujulikana mara moja pia hakujulikana ni wa ushirika wa kanisa gani amekutwa twenye Casino la wanawake wa kucheza nusu uchi akijivinjari mmoja wa vimwana hao bila kuwa hata na hofu yeyote ya mungu huku akiwa amevalia nguo zake za kiheshima za kidini.

Hata hivyo mtu huyo ilisemekana hakuwa ni padri bali alivaa hivyo ili kuikashifu na kuichafua dini ya wakristo na kudai kuwa aliamua kufanya hivyo kuwaonesha waumini wote duniani kuwa mapadri wengi ni feki na hizi ndio tabia zao kama yeye anavyozionesha hapo ndio wanavyofanya wawapo katika muda wao wa mapumziko.

Watu mbalimbali walitoa maoni yao tofauti kuhusiana na picha hii na wengine kuseme ndio kweli kuna mapadri feki wenye tabia chafu kama hizi hata wengine kufanya yasiweza kusemeka ingawa wapo wachache wenye imani ya kweli wanaochafuliwa na wenzao kuonekana wote lao ni moja lakini si hivyo.

author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


Blog Archive

© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top