Picha na Video zilizowekwa kwenye mtandao wa instagram wa Nuhu Mziwanda zilikuwa zikimuonesha yeye akiwa na mpenzi wake Shilole kiuno wakifanya yao kitandao kimahaba mpaka ukiwaona utawaonea wivu wanavyofaidi.
Lakini baadae mapema tu Picha hizo na Video yake vilitolewa mtandani kwani vilileta gumzo kubwa kwa watu kiasi cha kuwa kuongeza idadi kubwa na followers katika ukurasa huo wa instagram. Hata hivyo video na picha hizo hazikuwa zimekaa vizuri sana kimaadili ya jamii yetu ukizingatia kuna sheria ya makosa ya kimtandao "cyber law" ambayo ilitungwa hivi karibuni na kutiwa saidi na muheshimiwa rais nayo ingewaletea shida ndio kilimpelekea Nihu aitoe video na picha hizo.
Katika couple za watu maarufu nchi Tanzania Nuhu na Shilole nao hukosi kuwataja kwani wamekuwa ni wenye kupendana na wenye mahusiano mazuri kwenye penzi lao.
Post a Comment