Hii ni huko marekani video ikimuonesha mwanamke mwenye vichwa viwili akiendesha gari bila wasi wasi wowote.
Video hii ilikuwa ni ya kuustaajabisha na ilikuwa imeangaliwa zaidi na watu wengi mtandaoni kwa kumuangalia dada huyu wa kimarekani akiendesha gari.
Post a Comment