Tukio la kusikitisha limetokea nchini kenya ambapo imedaiwa mtoto mdogo wa miaka 6 amejikuta akifanya mapenzi na dada wa kazi wa nyumbani kwao kwa kulambishwa sehemu za msichana huyo za siri.
Mama huyo alibaini uwepo wa tukio hilo baada ya malalamiko ya mtoto wake kudai kuwa dada huyo huwa anamwambia mtoto amlambe sehemu zake za mbele za siri. Hata hivyo mama huyo aliendelea kusema kuwa hapo awali mtoto alionekana kama hayuko makini sana kuelezea tukio hilo lakini siku hadi siku alikuwa akisisitiza kufanyiwa hivyo.
Polisi wanamshikilia dada huyo na anatarajiwa kupatishwa mahakamani hivi karibuni kujibu tuhuma za tukio baya alilolifanya kwa mtoto huyo.
Post a Comment