Dada mmoja ambaye jina lake halikufaamika mara moja amejikuta akiwafinyiwa kitu mbaya kwa kuingiliwa kimwili bila idhini yake na wanaume zaidi ya mmoja bila hata ya yeye mwenyewe kujitambua kwa kile kilichodaiwa kuwa alikuwa amelewa pombe chakali.
Tukio hilo lilitokea mkoani Arusha siku za hivi karibuni baada ya dada huyo kuokotwa kwenye baa akiwa hajitambui na ndipo wasamalia mwema wakajitokeza kumsaidia kwa kumpa hifadhi ya kulala kwenye jumba povu la mkaka lililokuwa karibu na bar hiyo, ndipo alijikuta akifanyiwa kitu mbaya katika jumba hilo na wanaume zaidi ya mmoja bila ya yeye kujielewa huku akiwa bado amelala chakali bila ya kujielewa kutokana na kiasi kikubwa cha pombe alichokunywa.
Tukio hili hiwe funzo kwa watu wote kuwa unywaji wa pombe wa kupindukia sio mzuri utajikuta unapata matatizo makubwa hata zaidi ya haya aliopata huyu dada.
Post a Comment