Tukio la aibu limetokea hivi karibuni baada ya mzee mmoja ambaye jina lake halijafahamika mara moja kujikuta anatembezwa akiwa uchi wa mnyama na mwanamke aliefumaniwa nae ambaye inadaiwa ni mke wa muendesha bodaboda.
Fumanizi hilo ambalo lilikuwa likisubiriwa kwa hamu litokee baada ya kupanga mpango kabambe ambao ulifanikisha kuwakapata. Muendesha bodaboda huyo ambaye jina lake hakupenda litwajwe alisema alikuwa akisikia kuwa mkewe anatoka na babu huyo lakini alipomwambia mkewe alikataa, ndipo waliposukiwa mpango mpaka kukamakwa kwao.
Walijikuta wanatembezwa mtaa kwa mtaa wakiwa uchi wa mnyama wote wawili huku kukiwa na msururu wa waendesha bodaboda wakiwapigia makelele kwa honi na kuwazomea kwa uhuni wao walioufanya.
Post a Comment