Tukio la kushtukizwa limemkuta kijana mmoja baada ya kumsukia mpango wa uliokuwa unafanywa kimya kimya kila siku ili kumkata mwizi huyu wa wake za watu.
Inadaiwa jamaa huyu alikutwa na mke akijirusha na mke wa mtu kwa nyakati tofauti tofauti sehemu mbalimbali ndipo wakamsukia mchongo na hatimae kufanikiwa kumkamata katika nyumba za kulala wageni ambapo alikuwa na mke wa mtu wakuvunja amri ya sita. Alijikuta anavamiwa na watu na kuchezea kipigo kikali kwa kuvuliwa mkanda wake wa suruali na kupigwa nao yeye mwenyewe.
Tukio hilo liwe fundisho kwa wale wanaotoka na wake za watu kwani si sawa na iko siku arobaini yako nawe itakukuta kama huyu jamaa.
Post a Comment