Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

VIDEO: Avua nguo moja moja akicheza mbele za watu hatimae kubaki mtupu kama alivyozaliwa, jionee hapa.


Genge la wanawake wa kucheza uchi(stripper) nchini ufulipino lilijinadi kwa kufanya onesho la kucheza uchi hadharani hivi karibuni kwa lengo la baadae kufanya matamasha ya hela katika kumbi mbalimbali kwa kuzunguka nchi nzima.

Wanawake hao walijikuta wamejaza watu katika moja ya mji baada ya kuonekana wakifanya onesho la kucheza wakiwa watupu kwa kuanza kuvua nguo moja badala ya moja na hatimae kusaula nguo zote na kubaki wakicheza uchi kama walivyozaliwa. 

Lakini hata hivyo onesho lao hilo lilikuwa si la kuruhusiwa hivyo serikali kupitia jeshi la polisi la nchini humo waliingilia kati na kutawanya watu na onesho zima kwa ujumla.

author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


Blog Archive

© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top