Lulu hivi karibuni amethubutu tena kufungua ukurasa mwingine kwa Instagram na kusema endapo itatokea shabiki yeyote atamtukana basi atamshtaki kwa kufua sheria mpya iliyopitishwa ya makosa ya kimtandao "cyber law" ambayo ilitiwa saini ya kuanza kutumia hivi karibuni na muheshimiwa rais wa nchi.
Lulu amezidi kusema kuwa wapo mashabiki wake wengi tu wanaompenda ila pia wapo wachache wasiompenda na wanaoamua kupita katika page za mtandao wake na kuamua kumtusi.
Post a Comment