Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Aibu!! Hiki ndicho kilichomkuta SHILOLE kwa mashabiki wake baada ya kufanya show ya nusu uchi Marekani.


Mwanamuziki wa kitanzania wa Bongo Fleva Shilole maarufu kama Shilole Kiuno ambaye alifanya show nchini marekani ambayo ilivalia kinguo ambacho kilikuwa kikimuonesha maziwa nje na mapaja nje ambayo kimaadili sio sawa.

Show hiyo ambayo ilihudhuriwa na watanzania waishio nchini marekani na mwanamuziki huyo alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kutupia picha za show yake ilivyokwenda mtandao na kujikuta mashabiki wake wa wengine mbalimbali wakimdondoshea matusi kwa kile kilichodaiwa kuvaa nguo fupi inayoonesha mwili haina maana kuwa ndio umefanya shoo ya kukamua zaidi.

Shilole kwa sasa anahaha kuomba msamaha kwa mashabiki wake huku akiwa ni mwingi wa aibu na kujutia kwa kile alichokifanya nchini marekani.
author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


Blog Archive

© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top