Mwanamuziki tajiri wa nchini Uganda Jose Chameleone hivi karibuni ameleta mzozo mkubwa katika ukurasa wake wa Instagram baada ya kuweka picha hiyo ambayo iliambatana na maneno ambayo yaliongeza utata na mzozo kwa washabiki wake.
Chameleone ambaye kwasasa anatamba na vibao vyake vikali viwili ambavyo vyote amevitoa mwaka huu, amejikuta anaingia kwenye mzozo na kashikashi mtandaoni na mashabiki wake baada ya kuweka picha hiyo akiwa kwenye gari lake na kuanika idadi kubwa ya tuzo zake alizowahi kuzipata toka aanze kazi ya muziki.
Picha hii ilimuongezea sifa na pongezi kwa mashabiki wake na kumuhusia andelee kukaza buti kwa kuwaburudisha kimuziki zaidi.
Post a Comment