Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

BREAKING NEWS: Diamond Tv kuzinduliwa leo, muda na mahali pata taarifa kamili hapa!!!


Kupitia kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa clouds fm, msanii Diamond platnums, amezungumzia uzinduzi wa Tv station yake binafsi atakayoizindua mei 1 kwenye party ya zari inayofahamika kama zari all white party itakayofanyika mlimani city.

Taarifa kamili na picha za uzinduzi wa Diamond Tv utazipata hapa hapa katika blog yetu endelea kutembelea blog yetu kwa taarifa ya hapo baadae.
author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top