Hii ndio picha
ya msanii wa muziki wa bongo fleva Tanzania Ommy Dimpoz iliyoleta gumzo.
Msanii wa nyimbo za Bongo Fleva wa
Tanzania katika ukurasa wake wa Instagram amejikuta ameleta gumzo mtandaoni
baada ya kuweka picha yake hiyo hapo unayoiona hapo juu na kumfanya hapo baadae
alazimike kuitoa.
Sina haja ya kukueleza gumzo aliloliteta
ila tu ukiiangalia kwa makini picha hiyo unaweza ukaona kasoro yako nawe ambayo
kwa upande wako inaweza kuwa ni gumzo kwako au ikawa ni kawaida tu kwako.
Post a Comment