Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

VIDEO: Matani mengine kweli sio mazuri, jionee Joti wa Ze Komedi walichomfanya ukumbini baada ya kutania watu.

Msanii wa vichekesho wa Orijino Komedi Joti amejikuta kwenye gharika la kupakawa unga ukumbini kwenye harusi ya rafiki ao mmoja hivi karibuni baada ya kujidai yeye mchawi kwenye harusi hiyo na kujikuta anakamatwa na walokole kwa kumwambia pepo ushindwe kisha kumpataa unga na kumnyoa nywele kipara kama vile wachawi wanavyotolewa uchawi. Msanii huyo alijikuta ni mwenye kudhalilika na kujutia kwa tukio alilolifanya.
author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


Blog Archive

© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top