Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Alichokisema Mbuge wa Mbeya Joseph Mbilinyi 'Sugu' kumkaribisha Mh Lowassa Mbeya na Kuwakejeli CCM.

Baada ya Mh Lowassa jana kuwasi Mbeya na kulakiwa na maelfu ya watu, Mbuge wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi nae alisimama kuongea yake na kumfagilia Mh Lowassa huku akiwakejeli Chama Cha Mapinduzi CCM kuwa wamepoteza Jembe na hivyo wao watalitumia Jembe hilo kuhakikisha kuwa wanawang'oa madarakani ifikapo uchaguzi mkuu wa Octoba 25 Mwaka huu.
author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


Blog Archive

© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top