Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Hatimae Mama Diamond apata mjukuu hapa ni baada kuenda hospitali kumuona mtoto aliejifungua Zari.

Baraka za mungu zimewashukia wapendao Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari the bosi baada ya kupata mtoto wao wakike. Mtoto huyo ambaye Diamond aliweka picha katika ukurasa wake wa instagram kumkaribisha duniani mtoto huyo huku akiwa amepiga picha hii iliyomuonesha mama ake Diamond pichani akiwa amembeba mtoto na mpenzi wake Zari the bosi akiwa pembeni.
author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


Blog Archive

© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top