Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Picha 11: Ney wa Mitego na Shamsa Ford wakiwa kwenye penzi zito la kimahaba, Jionee hapa.

Msanii wa Muziki wa Hip hop Ney wa Mitego baada ya kutangaza wazi kuwa yuko kwenye mahusiano ya kimapenzi na msanii wa bongo movie Shamsa Ford sasa mapenzi yao yamekuwa ni ya wazi na moto moto kwa kuonekana wakila raha zao za mapenzi ya mahaba waziwazi kwa kujiachia bila ya hofu ya mtu yeyote. Wapendao hao waliweka picha mbalimbali mtandaoni wakijionesha kuwa kwenye mahusiano ya pamoja na kuleta gumzo kubwa.
author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


Blog Archive

© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top