Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

BREAKING NEWS: Picha 3 Kijana akamatwa akitengeneza vitambulisho FEKI vya kupigia kura BVR,Jionee hapa.


Kijana mmoja ambaye jina lake linahifadhiwa anashikiliwa na jeshi la polisi Mkoani Dar es salaam kwa kugundulika kutengeneza vitambulisho feki vya kupigia kura BVR. Kijana huyo ambaye alikuwa anavitengeneza vitambulisho hivyo yeye mwenyewe kwa kuweka picha za watu mbalimbali ambazo alidaiwa alitumiwa na mtu mmoja ambaye uchunguzi wa kesi yake unaendelea na yuko ndani kwa mahojiano zaidi.
author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


Blog Archive

© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top