Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

VIDEO: Kweli Ng'ombe hazeeki maini jionee video Mzee Majuto akila raha na Nisha wa Bongo Movie, Jionee hapa.

Ule msemo usemao kweli ng'ombe hazeeki maini umejidhihirisha hivi karibuni baada ya msanii wa vichekesho wa Tanzania Mzee Majuto 'King Majuto' alionekana akila raha na Msanii mwenzake wa Tanzania wa Bongo Movie Nisha. Kwa pamoja walionekana wakila raha hizo hivi karibuni na picha pamoja na video zao zilionekana kwenye mtandao wa Instagram wa wasanii hao.
author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


Blog Archive

© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top