Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Utata!!! Mtoto wa Zari kupimwa DNA ni baada ya kugombaniwa na wanaume wa3 waliowahi kuwa nae kimahusiano.

Baada ya Zari The Boss Lady jana kujifungua salama mtoto wa kike na kua na imani zake kubwa kuwa mtoto huyo ni wake na mpenzi wake Diamond lakini hapo baadae waliokuwa wapenzi wa mwanadada huyo kabla ya Diamond Platnumz nao wamemjia juu dada huyo wakidai kuwa mtoto huyo ni wakao.

Lakini utata wa kuwa mtoto huyo ni wanani kiuhalisia ni pale watakapoamua kufanya vipimo vya sinasaba(DNA) kwa mtoto huyo ili kujua baba halali wa mtoto huyo.
author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


Blog Archive

© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top