Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Hizi ndio sababu Mwanamuziki Diamond Platnumz kuzikataa Milioni 500 za Mh Edward Lowassa, zijue hapa.

Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Nassib Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz amekataa bingo nono la Mgombea wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mh. Edward Lowassa kwa kuombwa kuwa mtumbuizaji wakati wa kampeni zake kugombea wadhifa huo.
Diamond alikataa ombi hilo na kiasi cha fedha alichohadiwa kupewa kutupilia mbali dau hilo na kusema kazi yake ya muziki asingependa kuigawa kwa kuangalia itikadi ya vyama yeye yuko kutumbuiza mashabiki wake wote bila kuangalia itikadi zao za kivyama.
author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


Blog Archive

© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top