Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

PICHA 11: Jionee Mh.Edward Lowassa alivyopokelewa na kuhutubia wana Mbeya leo baada ya kuwasili mkoani hapo.

Mgombea urais kupitia chama cha UKAWA Mh.Edward Lowassa leo hii alifika mkoani Mbeya majira ya jioni kwa ndege na kuhutubia maelfu ya wanambeya juu ya msimamo wake wa kugombea wadhifa huo kupitia chama hicho. Mgombea huyo alipokelewa na wanachama wengi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA pia chama cha Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA.


author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


Blog Archive

© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top