Msanii mkongwe wa muziki wa kitanzania wa kizazi kipya 'Bongo Fleva' Professor Jay alionekana leo katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam kujadili kwa kina na wanachama wenzake wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mambo mbalimbali ya kichama ikiwemo msimamo wa chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25.
Msanii huyo ambaye alipita kwenye kula za maoni huko mkoani Morogoro katika jimbo la Mikumi kugombea ubunge kupitia chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa Oktoba 25 ambao utawahusisha Madiwani, Wabunge na Rais ambapo Professor Jay yeye yuko kugombea katika nafasi ya Ubunge kupitia chama hicho.
Post a Comment