Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Jionee picha 3 Diamond Platnumz akiwa kwenye malezi yenye furaha na mtoto wake aliempata siku chache zilizopita.

Msanii wa muziki wa kikazi kipya Abdul Nasib Diamond Platnum wa nchini Tanzania ambaye amejipatia mtoto wa kike hivi juzi aliezaa nae mpenzi wake Mwanamitindo na Mwanamuziki wa Uganda Zari The Boss Lady, ameweka picha hivi leo katika mtandao wa Instagram ukimuonesha akiwa mwenye malezi ya mtoto wao huyo wa kike waliempatia jina la Lattifah.


author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


Blog Archive

© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top