Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Aibu!! Jionee picha 3 mwanamke mwizi alichofanywa baada ya kuiba vitu katika gereji huko mkoani Arusha.


Mwanadada mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuiba kwenye eneo la gereji na kujikuta anapigwa hadi kuchaniwa nguo zake zote na kubaki na nguo ya ndani tuu. Mwanadada huyo alishushiwa ghalika la nguvu na wanaume mbalimbali waliokuwa wanafanya kazi maeneo ya hapo karibu na hizo gereji.
author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


Blog Archive

© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top