Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Ujue ujumbe mzito aliousema Mke wa Mh Lowassa Mama Regina Lowassa kwa wanawake Mkoani Mbeya.

Mke wa aliekuwa waziri mkuu Mh Edward Lowassa Mama Regina Lowassa jana baada ya kufika mkoani Mbeya na kuhutubia maelfu ya wakazi wa mkoa huo. Ajenda kuu alioizungumza Mama Regina ni kuwa wanawake wanahitajika kuwa ni wachapakazi kwa kujitokeza kwenye fursa mbalimbali za maendeleo ikiwemo kujikita kugombea wadhifa wa kiuongozi sehemu mbalimbali kuanzia ngazi ya chini kabisa ya ujumbe mpaka ngazi ya juu kabisa Uraisi na kusema anaimani kuwa iko siku Rais wa nchi hii atakuja kuwa ni mwanamke.
author
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

NGOSHA
Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

float ads


Blog Archive

© Copyright UHAKIKA WA HABARI
Back To Top