Katika halfa ya kuwaaga wasanii ambayo ilifanyika wiki chache zilizopita katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam ambao uliwahusisha wasanii wote wa muziki wa kizazi kipya Bongo Fleva, Ma producer wa muziki huo kwa upande wa Video na Audio, Bongo Movie, Radio Presenters na watu wengine maarufu wengi katika Tasnia ya Mbalimbali za sanaa hapa nchini.
Hafla hiyo ambayo Rais Kikwete aliamua kuifanya kwakua alikuwa ndio anamaliza muda wake wa kuingoza nchi kwa kiaka kumi aliamua kuwakumbuka wasanii kwa kuungana nao na kucheza kwa furaha.
Hafla hiyo ambayo Rais Kikwete aliamua kuifanya kwakua alikuwa ndio anamaliza muda wake wa kuingoza nchi kwa kiaka kumi aliamua kuwakumbuka wasanii kwa kuungana nao na kucheza kwa furaha.